Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kali kwa wanasiasa fulani wa eneo la Bonde la Ufa ambao anasema wanaingilia siasa za Mlima Kenya. Akizungumza jana huko Eldoret kaunti ya Uasin…