Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanaishinikiza serikali kuwalipa malimbikizi ya mshahara wao na pia kutekeleza Mkataba wa Maelewano wa mwaka 2021-2025. Si hayo tu, wanashinikiza kuanza kwa mazungumzo ya mkataba wa mwaka 2025-2029.