Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kijiji tulivu cha Maguguni katika kaunti ndogo ya Thika Mashariki kinaendelea kushuhudia mageuzi makubwa kufuatia mchango wa shilingi milioni 14 kutoka kwa Rotary International. Fedha hizo zilielekezwa kwa kituo cha…