Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa asasi mbali mbali za usalama, wamemkamata mwanamke anayeshukiwa kuwa mlanguzi wa mihadarati kutoka Moyale hadi Nairobi. Jane Njeri Muigai mwenye umri wa miaka 28, alitiwa nguvni akiwa na…