Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Moto mkubwa ulizuka usiku katika Chuo Kikuu cha Tharaka na kuteketeza afisi kuu ya chuo hicho. Wakazi wa eneo hilo wamekosoa vikali serikali ya kaunti kwa kile walichokitaja kama uzembe…