Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya uchukuzi imeongeza muda wa marufuku ya kuwatathmini madereva nchini kwa kipindi cha miezi mitatu. Katika taarifa ya waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen siku ya Ijumaa ,utathmini kwa madereva…