Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Spika wa Bunge la Taifa,Moses Wetang’ula leo Jumatano ameongoza wabunge katika kumwomboleza mbunge wa Malava Moses Malulu Injendi aliyefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi. Hadi kifo chake, marehemu Injendi…