Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Uganda, Morocco na Mali zimefuzu kwa awamu ya timu 16 bora, katika fainali za Kombe la Dunia kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 17 zinazoendelea nchini Qatar. Morocco ilifuzu Ijumaa…