Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Joshua Irungu almaarufu "Jowie" amezindua wimbo kwa jina "Nakuabudu." Jowie alizindua wimbo huo saa chache baada ya mahakama kumpata na hatia ya kumuua mfanyabiashara Monicah Kimani nyumbani kwake katika eneo…