Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya imetuma kikosi cha maafisa 230 wa Huduma ya Taifa ya Polisi nchini Haiti, kuungana na vikosi vinavyokabiliana na magenge ya wahalifu nchini humo (GSF). Akizungumza alipokuwa akiliaga kikosi hicho,…