Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu 15 wanaojihusisha na uuzaji wa pombe huko Mombasa wamekamatwa na maafisa wa mamlaka ya kupambana na matumizi mabaya ya pombe na mihadarati NACADA waliotekeleza msako. Mkurugenzi mtendaji wa NACADA…