Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais Félix Tshisekedi ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa Urais katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, matokeo ambayo wagombea kadhaa wa upinzani wamepinga wakitaka uchaguzi urudiwe. Rais Tshisekedi alishinda kwa asilimia…