Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto leo Jumamosi, amekamilisha ziara ya maendeleo ya siku tano katika eneo la Mlima Kenya, ambako alikagua miradi inayoendelea na kuzindua miradi mipya ambayo itachochea ukuaji wa kiuchumi…