Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amesema kuwa serikali imetimiza ahadi zake kwa wakulima, kwa kutekeleza mabadiliko katika sekta ya kilimo hapa nchini. Kulingana na Rais, serikali imetengea sekta ya kilimo kiwango kikubwa…