Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi wa kaunti ya Kilifi ameshutumu ongezeko la visa vya ubakaji wasichana wadogo ambayo vimekithiri katika kaunti hiuo na kuitaka serikali kuingilia kati kukomesha uovu huo. Wakiongozwa na Gavana Gideon…