Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Utalii Rebecca Miano amekariri kujitolea kwa serikali kukamilisha miradi ya maendeleo iliyoanzishwa katika kaunti ya Nyandarua. Miano alisema haya Jumatatu alipohudhuria mazishi ya Mama Jane Wangari eneo bunge…