Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri alihimiza wamiliki wa viwanda vya kukata mbao kuunga mkono lengo la kuongeza utandu wa misitu nchini hadi asilimia 30 kupitia urejeshaji wa maeneo yaliyoharibika.