Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Korea Kaskazini imelipua sehemu kadhaa za barabara na njia za reli zilizoiunganisha na Korea Kusini na vilipuzi siku ya Jumanne. Miundombinu hii iliyopo katika sehemu ya kaskazini ya mpaka wa…