Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa kitengo cha kukabiliana na mihadarati (ANU) mjini Mombasa, wamewakamata washukiwa sita wa ulanguzi wa mihadarati, wakiwa na bangi ya thamani ya shilingi milioni 72. Baada ya kupokea habari…