Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanahabari wamehimizwa wawe wakiangazia uanahabari wenye suluhu kama njia ya kutoa ushauri kuhusu suluhisho za matatizo mbali mbali yanayokumba jamii badala ya kuripoti tu. Akizungumza mjini Meru wakati wa mafunzo…