Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Saa chache tu baada ya kuondoa hoja ya mjadala wa kumbandua afisini Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza, mwakilishi wadi mteule Zippora Kinya amewasilisha hoja nyingine kwa nia sawa.…