Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa usalama wamewakamata washukiwa sita wa ubakaji katika kaunti ya Meru. Washukiwa hao wanadaiwa kutekeleza uovu huo Disemba 1, 2025 katika eneo la Laare, kaunti ndogo ya Igembe Kaskazini,…