Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa sita Wa ujambazi katika barabara kuu ya Mbumbuni, kaunti ndogo ya Mbooni mashariki walitiwa nguvuni na maafisa wa polisi Jana. Hii inafuatia malalamishi yaliyowasilishwa mwendeshai gari mmoja kwenye barabara…