Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakulima wa maziwa wanatazamiwa kupata mapato zaidi kufuatia hatua ya serikali kuingilia kati suala la kuwepo kwa maziwa mengi ambako kumetishia kuathiri bei za juu za maziwa. Naibu Rais Rigathi Gachagua…