Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imeunda kamati itakayoratibu mipango ya mazishi ya kinara wa chama cha ODM Raila Odinga. Odinga, alithibitishwa kufariki leo Jumatano wakati akipokea matibabu nchini India. Kamati ya kupanga mazishi ya…