Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wabunge wa mrengo tawala wa Kenya Kwanza kutoka eneo la Ukambani, wanataka kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti wachunguzwe na idara ya upelelezi…