Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mchekeshaji maarufu nchini Vincent Mwasia maarufu kama Chipukeezy amejibu wakosoaji wake kwenye mitandao ya kijamii akisema yeye hawezi kuitiwa kazi akose kufanya. Baadhi ya wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii…