Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji wa mahakama ya upeo Mohammed Ibrahim ameaga dunia. Akithibitisha kifo hicho, Jaji Mkuu Martha Koome alisema Ibrahim alifariki Jumatano baada ya kuugua kwa muda mrefu. Jaji huyo ambaye alitarajiwa…