Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang’ula, ametoa wito kwa wanaoandaa maandamano Jumatano Juni 25,2025, kuyashiriki kwa amani ili kuepusha kupoteza maisha na mali. Akizungumza alipokuwa mwenyeji wa balozi wa…