Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji anayeshughulikia kesi ya mwanamuziki wa Marekani P Diddy ameagiza kuharibiwa kwa stakabadhi zilizotwaliwa kutoka kwa seli yake. Uamuzi huo ulitolewa katika kikao cha dharura Jumanne Novemba 19, 2024 kufuatia…