Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imetuma msaada wa chakula kwa waathiriwa wa maporomoko ya ardhi katika kaunti ya Elgeyo Marakwet. Haya yanajiri huku idadi ya waliofariki kutokana na mkasa huo wa mapema Jumamosi ikifikia…