Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Homa Bay ilikusanya mapato yenye kima cha shilingi milioni 101.6 mwezi Septemba, 2023. Seikali hiyo inayoongozwa na Gavana Gladys Wanga ilikusanya jumla ya shilingi milioni 291.5…