Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Asilimia 65.11 ya Wakenya katika kiwango cha maeneo bunge waliunga mkono kubanduliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakati wa zoezi la kukusanya maoni ya Wakenya lililoandaliwa mwishoni mwa wiki jana. …