Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wanazidi kuomboleza kifo cha aliyekuwa kinara wa chama cha ODM Raila Odinga. Raila alithibitishwa kufariki leo Jumatano nchini India alikokuwa akipokea matibabu.…