Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon ameteuliwa katika orodha ya mwisho ya wanariadha watano wanaowania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka huu kwa wanawake.…