Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imezindua mpango wa shilingi trilioni tano ili kuwekeza kwa wananchi, kuimarisha kilimo kupitia unyunyuziaji mkubwa wa mashamba maji, kujenga barabara bora na mifumo ya nishati, na kufungua fursa halisi…