Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Rigathi Gachagua aliyetimuliwa madarakani na Bunge la Seneti kwa mara nyingine amepata pigo mahakamani. Hii ni baada ya jopo la majaji watatu lililoteuliwa na Naibu Jaji Mkuu Philomena…