Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakazi wa kaunti ya Kilifi wanahimiza kwamba serikali sasa inafaa kutoka kwa hatua ya majadiiano na kuingia katika hatua ya vitendo. Hayo yalidhihirika siku ya Alhamisi katika kikao cha tano…