Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama Kuu imeondoa agizo la kuzuia utekelezaji wa matumizi ya vitambulisho vipya maarufu kama Maisha Namba. Mahakama hiyo imemkosoa Jaji Lawrence Mugambi aliyetoa agizo la kusimamisha utekelezaji wa vitambulisho hivyo…