Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ameziagiza wizara kupunguza bajeti zao za mwaka 2023/2024 kwa asilimia 10 ili kuhakikisha matumizi ya wizara hizo yanawiana na rasilimali zilizopo wakati kukiwa na mdororo wa uchumi…