Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji wa Mahakama ya Rufaa Fredrick Ochieng Andago ameaga dunia. Hata hivyo, kwenye taarifa, Idara ya Mahakama haijaeleza kilichosababisha kifo cha Jaji huyo aliyejiunga na idara hiyo mnamo mwaka 2003,…