Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wamepinga vikali uamuzi wa hivi majuzi wa Mahakama ya Juu unaoruhusu watoto waliopatikana nje ya ndoa kurithi mali za baba zao Waislamu. Wakizungumza mjini Kakamega,…