Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya inashuhudia ongezeko kubwa la magonjwa yanayohusiana na baridi kufuatia msimu wa baridi uliodumu kwa muda mrefu hadi mwishoni mwa mwezi Agosti 2025, hali isiyo ya kawaida kwa kipindi hiki…