Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwelekeo wa kutisha umeibuka katika maeneo ya magharibi mwa Kenya na Kiambu—hasa Juja na Thika—ambapo visa vya waendesha bodaboda kuchoma magari vimeripotiwa. Matukio haya mara nyingi hutokea kama njia ya…