Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini, EPRA imetangaza kupunguzwa kwa bei ya mafuta katika kipindi cha mwezi moja ujao kinachoanzia Juni 15-Julai, 14, 2024. Kulingana na EPRA, bei…