Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali kupitia Wizara ya Afya leo Alhamisi imezindua mpango unaolenga kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya ya jamii 25,000 katika awamu ya kwanza kwa dhamira ya kuwaongezea ujuzi utakaoboresha utendakazi…