Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chuma cha Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja huenda ki motoni, siku chache baada ya mwenzake wa Kericho Erick Mutai kuponea chupuchupu shoka la kutimuliwa madarakani kwa mara ya pili. Hii…