Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Usalama wa Taifa Kipchumba Murkomen,amesema serikali imeanzisha mafunzo ya dharura kwa machifu na manaibu wao 8,102 huku kundi la kwanza la maafisa elfu-1 likiendelea kupokea mafunzo wakati huu.…