Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Vyama kadhaa vya ushirika vya wakulima katika kaunti ndogo ya Matungulu, kaunti ya Machakos vimeungana na kutoa wito kwa idara ya upelelezi wa jinai DCI na polisi kuchunguza jamaa aliyejitangaza…