Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya kilimo imepiga marufuku uvunaji wa Macadamia kuanzia Novemba 2, 2024 hadi Machi 1, 2025. Kulingana na wizara hiyo, hatua hiyo inalenga kukabiliana na uuzaji wa Macadamia ambayo hayajakomaa.…